Jifunze kuagiza bidhaa kutoka China , Vietnam ukiwa chumbani kwako

Okoa pesa kwa kujifunza njia na mbinu za kuagiza bidhaa kutoka nchi mbalimbali bila ya kua na haja ya kusafiri kwenda nchi hio.

HII NI KWA AJILI YA NANI

Kama unataka kuanza biashara , unataka kununua vitu vya ndani kwa gharama nafuu.
Jifunze kuagiza bidhaa kutoka nchi za China , Vietnam , Thailand na uvipate kwa gharama nafuu

WALIMU WETU

Rose Mpangala

ui/ux web master

A strict teacher that has been teaching since the age of 16. Stella won’t give you any slack, so you will have to do the very best work you’ve done in your life.

Cornelius Greshom

Computer Science

Donald has a PHD in both Computer Science and Design. His beginner course is a must see for any aspiring web professional who want to learn from the best.

Alfred Mutiganzi

AI Expert

If there’s someone who can explain anything, Gaby is the one. She teaches you not just how to do something, but why to do it this way and not the other.

Agiza ukiwa nyumbani

Jifunze kuagiza ukiwa nyumbani , hamna haja ya kusafiri na kuingia gharama za nauli

 nitakufundisha jinsi ya kuagiza bila kusafiri

njia za kuagiza na mzigo wako kufika salama

jinsi ya kuagiza na kulipa kodi ndogo iwezekanavyo

jinsi ya kuepuka matapeli mtandaoni

Kuagiza kwa salama hata kama mzigo wako usipofika unarudishiwa hela yako

Okoa pesa

 

kuagiza mzigo kuanzia mtaji mdogo wa tsh 20,000 na kupata faida ya 70,000 ukiuza

kuchagua benki ambayo haitakuletea matatizo ukiwa unaagiza

kutambua bidhaa feki wakati unaagiza

fursa za kibiashara unazoweza kufanya ni kama kukodisha , kuuza au kupunguza gharama ya mtaji 

 

JIFUNZE KUTOKA KWA WATAALAMU

MASAA YA KAZI

Monday- Thursday:8:00-18:30 Hrs
(Phone until 17:30 Hrs)
Friday - 8:00-14:00

OFISI ZETU

Tabata Kimanga
Phone:+255 717 059 503
Whatsapp: +255 742 981 934
Email: brand@brandgenesis.agency